Marko 12:36
Print
Daudi mwenyewe kwa kupitia Roho Mtakatifu alisema, ‘Bwana Mungu alimwambia Bwana Mfalme wangu: Keti karibu nami upande wangu wa kuume, nami nitawaweka adui zako chini ya udhibiti wako.’
Kwa maana Daudi akiongozwa na Roho Mtakatifu alisema, ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: keti mkono wangu wa kulia mpaka niwashi nde na kuwafedhehesha maadui zako chini ya miguu yako.’
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) Copyright © 2017 by Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica